Ripoti ya UNHCR yasema zaidi ya watoto 170,000 walishambuliwa tangu 2010 katika nchi zilizo na mizozo. Zimbabwe iko katika hatihati ya janga la njaa imesema WFP. Baada ya kutelekezwa kutokana na vita sasa mashamba ya Yathreb Iraq yashamiri tena, ni taarifa ya UNHCR.