Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa chakula duniani WFP leo limeainisha maeneo 15 ambayo yatahitaji msaada wa dharura na uwekezaji kwa mwaka huu wa 2020. Umoja wa Mataifa wazindua majadiliano ya maadhimisho ya 75 ya Umoja wa Mataifa. Doria ya pamoja ya MINUSCA na polisi yadumisha usalama Ubangi CAR.